KADI CHA SHIRIKA
NAMNA YA KUTUSAIDIA
Chukua kadi ya Shirika yetu kwenye euro 20 kila mwaka.
Namna hiyo utakaposaidia shirika na kazi zake.
LIPA KADI KWA HARAKA!
MATENDO YETU
TAMBUA KAZI TULIOFANYA SASA HIVI NA TUSAIDIE KUFANYKIWA
Kenya 1993/2016 – Fundi wa chuma
Fundi wa chuma – ni  Kazi zake Elio Savio; alifundisha na kujenga mikokoteni, baiskeli ya
Sud Sudan 2015/2019: shule, kisima na ukulima
Ndiyo tutamsaidia Padri Ferrari katika majengo ya shule na kuchimba kisima kwa kutia maji safi
Mpango ya maskerine 2020 – Kenya, Nigeria na Uganda
Kwa sababu ya ugonjwa Covid 19, wanawake wasaidizi waitalia mnamo miezi Aprili, Mei na Juni
Kazi na watoto walioishi barabarani Nigeria na Kenya – 2018/2020
Mpango huyo ni kusaidia watoto wapate kazi na mkopo mdogo hasa kwa kununua vyombo ili
Msahada kwa jamaa zimefungwa kwa lockdown in Kenya – 2020
Kundi la watu waliosimamiswa na mwalimu mkuu Lucy Waweru na walimu wengine tisa wa KaloleniKidogo na jamaa in Kenya na Tanzania – 2016/2020
In Tanzania: Tunasaidia sista Luisella Benzoni kwa: mahitaji na watoto wake, na kulipa mtu aendeMsaada kwa wanafunzi walemavu “The small home” in Kenya – 2018/2020
Kaloleni Primary School “Our Lady of Victory ” ni pahali penye mahitaji ya kila namna,