This Campaign has ended. No more donations can be made.

“Shamba shule” in Kenya – 2015/2016

Kufuga kuku na sungura katika Murang’a College Primary school box.50-01020, Gakungu-Kenol, Kenya (karibu Makuyu). Msimamizi za kazi hizo ni mwalimu mkuu Lucy Waweru Nderitu.

Mfanyakazi mmoja mwenye msahara na wanafunzi wa shule watafanya kazi maalum ya mifugo.

Malipo kwa kutimiza kazi ni:

Ksh- 183,836.00     kununua vitu vya majengo

40,000.00      kununua 200 kuku

43,002.00      vyakula na madawa kwa miezi sita

54,000.00      Kulipa mishahara na mfugaji   (9000 Sh- kwa miezi6)

Ksh-   320,838.00     Kwa jumla (2.900 Euro)

Imetengenezwa pia PC na imempatia mwalimu mkuu.

  walimu     Walimu na wanafunzi wamelima pia bustani shuleni

Enter custom donation amount

SHARING IS CARING