This Campaign has ended. No more donations can be made.

Kidogo na jamaa in Kenya na Tanzania – 2016/2020

In Tanzania:

Tunasaidia sista Luisella Benzoni kwa: mahitaji na watoto wake, na kulipa mtu aende kulima shamba na wazee maskini, pia kusaidia wanawake maskini na mahitaji wao wa jamaa.

In Kenya:

Tulipeleka mkopo kwa euro mia na kijana mwenye shida kwa aweze kujenga nyumbake. Picha na nyumba hapo chini.

Tulimsaidia kijana mwingine kwa euro mia mbili kuendelea na kazi yake kuuza viatu. Baadaye yeye atarudishia ksh – elfu moja tukatumia fedha hizi kwa kazi yetu ya Shirika.

Enter custom donation amount

SHARING IS CARING