partners

OUR PARTNERS

Hapa ndiyo waminifu tuliopanga nao kazi yetu:

Kundi la watu wanaofanyakazi bure

Watu hawa wakuwa na kusudi la kusanya fedha na pia kupata nyakati kwa mikutano ya kijamii na kuongeza kufahamu kuhusu mambo mabaya mengine mengi nchini yenye mahitaji.

Fr. Pietro Ferrari

ni misionari Comboniano. Anatendeka kazi zake sud Sudan akifuatana nia kwa kusaidia watoto waliotoroka na vita.

Sr. Luisella Benzoni

ni sista la shirika Misionari wa Consolata, alifanya kazi shambani la Mungu kwa miaka 25 katika Tanzania, baadye alikaa Castelnuovo D. Bosco kwa mudha mrefu lakini sasa amerudi tena Tanzania. Amefanya kazi kwa bidii katika kila mahahali aliyekaa. Ni msimamizi kwa “Project kidogo na jamaa” palee Tanzania.

Mrs. Lucy Nderitu Waweru

Mwalimu mkuu wa shule ya Kaloleni Primary School. Mwalimu wa kingereza, husaidia wanafunzi wake vema wanaohitaji kulipa karo ya shule na shida nyingine nyingi.

Mr. Elio Savio

Tangu 1991 alianza kutumia likizo kwa kufanya kazi bure katika Kenya na Tanzania. Alijifunza kiswahili, akawafundisha wavulana wakenya kazi ya chuma na kujengea mikokoteni, baiskeli kwa walemavu michezo ya watoto na kadhalika. Hadi leo ndiyo amesafiri Kenya mara kumi na mbili. Katika sehemu “ Project welders” unaweza kutazama kazi zake.

Mrs. Dorothy Nankuba

Mshirika mpya kwa kusimamisha juu ya kazi kidogo cha kwanza nchini Uganda, ni mwanamke wake Johon Wanyu, aliyepata cheti cha chuo kikuu palee Pollenzo (Italia), pia ni rafiki mwaminifu kwa mwenzio wetu. Huyo mshirika mpya ni mwalimu katika Uganda mwenye umri ishirini na sita lakini sasa amefanyakazi kwa katibu binafsi mkurugenzi mtendaji kwa  Colline House Limited huko Kampala. Maishani yake ameona shida kama mazingira magumu, kwa hivyo anataka kuwasaidia wasichana wenye mambo hayo waliolelewa na mama wasiyo na wenzi na mama ambao bado ni watoto bila wenzi na jamaa.