Mr. Elio Savio

Tangu 1991 alianza kutumia likizo kwa kufanya kazi bure katika Kenya na Tanzania. Alijifunza kiswahili, akawafundisha wavulana wakenya kazi ya chuma na kujengea mikokoteni, baiskeli kwa walemavu michezo ya watoto na kadhalika. Hadi leo ndiyo amesafiri Kenya mara kumi na mbili. Katika sehemu “ Project welders” unaweza kutazama kazi zake.