Jicho ambalo limesafiri halifanani
na jicho lililokaa nyumbani
"Mirissio nkong'u natijoyie o neitu."
"Meatai lee kini." Hakuna mtu asiye na
umuhimu
siyo ngumu kupata,
lakini ni ngumu
kushikiliana kulinda
"Mara tumoto nagol amu mbarata."

NAMNA YA KUTUSAIDIA

SHIRIKA KIDOGO YENYE WAFANYAKAZI WA BURE KWA KAZI KIDOGO

SAIDIA MATENDO

Tunasaidia katika elimu, kazi na walemawu.

CHAGUA KUWA NA MSAIDIZI

Msaidie wenzetu katika nchi yako.

MATENDO YALIYOPANGWA PAMOJA

Kazi hizi zimepangwana kwa ana pamoja na wenzetu wanaojua shida ya nchi yao.

MATENDO YETU

TAMBUA KAZI TULIOFANYA SASA HIVI NA TUSAIDIE KUFANYKIWA

USINGOJA

KUWA MSHIRIKI KWA HARAKISHA

Tunahitaji kwa niya yako, usaidi na uwezo.

HABARI KUTOKA SHAMBA

HABARI MOTO LEO JUU YA KAZI NA HABARI KUU NA KUPENDEZA

SHAMBA – KULIMA TUMAINI
MATENDO KWA KUSAIDIA KATIKA ELIMU, KAZI NA WALEMAVU YALIYOPANGWA PAMOJA NA WENZETU WANAOJUA SHIDA YA NCHI YAO

Safari yetu ya kwanza mchini Kenya ilikuwa mwaka 1991: safari yenye ajabu. Baadaye wengi kati wetu wamerudi tena barani Africa kwa ajili ya kusoma na kufanyakazi ovio.

Mnamo 2013 tulianzisha Shirika hiyo kwa kusaidia wakaaji kufanya kazi.