Mpango huyo ni kusaidia watoto wapate kazi na mkopo mdogo hasa kwa kununua vyombo ili waweze kuzoelea na kazi mbali mbali kama ; fundi la mshonaji nguo, vyatu, fundi la mekanika.
Huyo mpango uliofanywa mwaka 2018 kwa watoto wachache katika Ibadan (Nigeria), asante sana kwa bro. Paolo Vaschetto mmisionari wa Salesians of Don Bosco.
Mnamo mwaka 2019 huyo mpango ulimshauriwa pia kwa Padri Julius Gichure Mwangi toka Consolata mission ” Familia ya Ufariji ” Kahawa, Nairobi kwa kusaidia wavulana kubwa wakati wale wanaotoka nje ili waweze kununua vyakula na vilivyohitaji kwa kuishi.
Isaac Ojo (Nigeria) na shauri yake kwa mtihani wa mwisho kinyozi mchanga (Nigeria)
Comments are closed.