MATENDO YETU
Kenya 1993/2016 – Fundi wa chuma
Fundi wa chuma – ni Kazi zake Elio Savio; alifundisha na kujenga mikokoteni, baiskeli ya
Sud Sudan 2015/2019: shule, kisima na ukulima
Ndiyo tutamsaidia Padri Ferrari katika majengo ya shule na kuchimba kisima kwa kutia maji safi
Mpango ya maskerine 2020 – Kenya, Nigeria na Uganda
Kwa sababu ya ugonjwa Covid 19, wanawake wasaidizi waitalia mnamo miezi Aprili, Mei na Juni
Kazi na watoto walioishi barabarani Nigeria na Kenya – 2018/2020
Mpango huyo ni kusaidia watoto wapate kazi na mkopo mdogo hasa kwa kununua vyombo ili
Msahada kwa jamaa zimefungwa kwa lockdown in Kenya – 2020
Kundi la watu waliosimamiswa na mwalimu mkuu Lucy Waweru na walimu wengine tisa wa KaloleniKidogo na jamaa in Kenya na Tanzania – 2016/2020
In Tanzania: Tunasaidia sista Luisella Benzoni kwa: mahitaji na watoto wake, na kulipa mtu aendeMsaada kwa wanafunzi walemavu “The small home” in Kenya – 2018/2020
Kaloleni Primary School “Our Lady of Victory ” ni pahali penye mahitaji ya kila namna,
“Shamba shule” in Kenya – 2015/2016
Kufuga kuku na sungura katika Murang’a College Primary school box.50-01020, Gakungu-Kenol, Kenya (karibu Makuyu). MsimamiziHABARI KUTOKA SHAMBA
SHAMBA – KULIMA TUMAINI
MATENDO KWA KUSAIDIA KATIKA ELIMU, KAZI NA WALEMAVU YALIYOPANGWA PAMOJA NA WENZETU WANAOJUA SHIDA YA NCHI YAO
Safari yetu ya kwanza mchini Kenya ilikuwa mwaka 1991: safari yenye ajabu. Baadaye wengi kati wetu wamerudi tena barani Africa kwa ajili ya kusoma na kufanyakazi ovio.
Mnamo 2013 tulianzisha Shirika hiyo kwa kusaidia wakaaji kufanya kazi.