OUR PARTNERS
Hapa ndiyo waminifu tuliopanga nao kazi yetu:

Kundi la watu wanaofanyakazi bure
Watu hawa wakuwa na kusudi la kusanya fedha na pia kupata nyakati kwa mikutano ya kijamii na kuongeza kufahamu kuhusu mambo mabaya mengine mengi nchini yenye mahitaji.
Fr. Pietro Ferrari
ni misionari Comboniano. Anatendeka kazi zake sud Sudan akifuatana nia kwa kusaidia watoto waliotoroka na vita.
Sr. Luisella Benzoni
ni sista la shirika Misionari wa Consolata, alifanya kazi shambani la Mungu kwa miaka 25 katika Tanzania, baadye alikaa Castelnuovo D. Bosco kwa mudha mrefu lakini sasa amerudi tena Tanzania. Amefanya kazi kwa bidii katika kila mahahali aliyekaa. Ni msimamizi kwa “Project kidogo na jamaa” palee Tanzania.
Mrs. Lucy Nderitu Waweru
Mwalimu mkuu wa shule ya Kaloleni Primary School. Mwalimu wa kingereza, husaidia wanafunzi wake vema wanaohitaji kulipa karo ya shule na shida nyingine nyingi.
Mr. Elio Savio
Tangu 1991 alianza kutumia likizo kwa kufanya kazi bure katika Kenya na Tanzania. Alijifunza kiswahili, akawafundisha wavulana wakenya kazi ya chuma na kujengea mikokoteni, baiskeli kwa walemavu michezo ya watoto na kadhalika. Hadi leo ndiyo amesafiri Kenya mara kumi na mbili. Katika sehemu “ Project welders” unaweza kutazama kazi zake.