This Campaign has ended. No more donations can be made.

Msaada kwa wanafunzi walemavu “The small home” in Kenya – 2018/2020

Kaloleni Primary School  “Our Lady of Victory ” ni pahali penye mahitaji ya kila namna, kama hakuna njia yenye lami… na kadha wa kadha. Lokesheni Mavoloni, Machakos County, Kenya.

Shule ni ya taifa kwenye wanafunzi 350, kati wao 80 walemavu.

Tangu miaka ishirini kando ya shule kiko chumba kidogo kinatajiwa  “the small home” kwa kupokea watoto 14 kwa kulala, wao wanakaa mbali sana yaani hawawezi kurudi kwao kila siku.

Hadi sasa chumba hiki kinaonekana kama pango la wanyama ! hakuna choo bila mwanadamu kwa kukisafisha kamwe ! Kwayo sharti kujenga choo  ili watoto waweze kuishi vizuri.

Basi, nia yake Lucy Ndertu Waweru ni kufanya hivyo, pia kujenga jiko na vitanda, baadye kulipa msahara na mwanamke mmoja awasaidiye watoto kwa kusafisha kila kitu.

Afadhali kujulisha kwamba mkuu wa shule ameweza kupata kitambulisho cha Taifa. Kwa hiyo ndiyo ni hatua ya kwanza kwa kupata usaidizi toka serikali, hasa kupata walimu wengine wakasaidiye watoto wenye shida.

Kujulisha mambo ya Aprili 2019

Habari nzuri. Wizara wa elimu amejibu kwa kweli kuhusu ile nyumba kidogo wa walemavu akilipa msahara kwa yule mfanyakazi anayesafisha “Small Home”.

Basi hadi leo mpango ule umekwisha. Asanteni.

Kujulisha mambo ya Januari 2020

Mnamo mwezi septemba tulipeleka msahada kwa kulipisha mwanzo wa kazi kwa kutoboa shimo la kutekea maji kwa shule.

Mwezi desemba tulipeleka fedha zingine kwa kulipa misahara na vitu mbali mbali kwa “small home” sababu serikali walikosekana kutoa fedha.

 

Kujulisha mambo ya Agosti 2020

Kazi kwa kutengenezea  “small home”  zilianza miezi iliyopita kutumia fedha zilizotokea na wenyeji, lakini sasa fedha hizo zimekwisha , kwa hivyo kazi zimesimama.

Sasa sharti tulipe tena fedha ili waweze kumaliza kazi kabla ya kufungua shule.

 

Enter custom donation amount

SHARING IS CARING