Kwa sababu ya ugonjwa Covid 19, wanawake wasaidizi waitalia mnamo miezi Aprili, Mei na Juni walishona kwa hamu maskerine elfu moja. Baadaye waliipeleka palee Kenya, Uganda na Nigeria.
Tunawashukuru wanawake hawa waliofanya kazi hii kwa akili na moyo; majina yao ni : Rosalba na wenzake wako Chieri, Carla, Marcella, Mariateresa, Daniela, Maria, Cicci, Teresa kutoka jimbo la Cuneo, Maria kutoka jimbo la Torino na Maddalena kutoka jimbo la Milano.
Comments are closed.